Itawezekana kama tu shule uliyochaguliwa kuna hiyo combination,maana enzi zetu walikuwa wanaangalia ufaulu comb unayotaka kuhamia lazima uwe umefaulu vizuri kuliko uhamayo hapo kwako naona zote zina ufaulu sawa so I don't think kama itakuwa tabu. Ni muhimu kusikiliza ushaur piaNaomba mnijuze wakuu
Yah hiyo shule inayo PCB,, nashukuru Sana mkuuItawezekana kama tu shule uliyochaguliwa kuna hiyo combination,maana enzi zetu walikuwa wanaangalia ufaulu comb unayotaka kuhamia lazima uwe umefaulu vizuri kuliko uhamayo hapo kwako naona zote zina ufaulu sawa so I don't think kama itakuwa tabu. Ni muhimu kusikiliza ushaur pia
Matokeo yako ya form four hayana uhusiano na advance. Kama unapenda kitu soma achana na past events.Nimehitim kidato cha nne 2018 na nimechaguliwa combination ya CBG ,, na mm ndoto zangu ni kusoma PCB ,Je naweza kubadl combination nikifka shulen .... results
Phy _c
Bio_c
Chem_c
Math_d
Hist_c
Eng_b
Kisw_b
Nashukuru sana kwa ushauri wako ,, nitaufanyia kazKwa pass zako unaweza kubadilisha bila shida ila jaribu kufanya hayo maamuzi mapema usijekusubiri masomo yameanza mwalimu husika hatokubali kukuchukua wakati wenzako wameshatangulia. Mwane mapema mwalim wa physics.
NB: Advance sio njia pekee ya kufikia ukoTatizo CBG hausomei course za afya chuo kikuu.. namm lengo langu ni kuw pharmacist
hapo kijana pambana na hali yako. jiulize kwa nini hukusoma geografia; pili kutosoma kwako masomo zaidi ya saba imeonesha KWAMBA uwezo wako ni wakawaida ila inapenda fani za kibabe. fungua hata famasi ya madawa ya wanyama kozi hizi SUA zipo.Nimehitim kidato cha nne 2018 na nimechaguliwa combination ya CBG ,, na mm ndoto zangu ni kusoma PCB ,Je naweza kubadl combination nikifka shulen .... results
Phy _c
Bio_c
Chem_c
Math_d
Hist_c
Eng_b
Kisw_b
geography XHayana uhusiano na advance kivp mkuu
Aaha kumbe kwaio ata kwa shulen haitowezekan kubadl kama wanataka CCBKubadili Inawezekana Mkuu Swala Hiyo Shule Unasoma Ina Huo Mchepuo Na Umekizi Vigezo Maana Inaweza Kuwa Kulingana Na Competition Imekuwa Kubwa PCB Wakaweka Kuanzia C C B au C B B