Msaada kuhusu kuhack dream league soccer 18

Habarini wadau asew nilikuwa natafuta sana jinsi ya ku hack hili game dream league 2019 bila ku root simu na hatimaye nimefanikiwa nina coins ambazo naweza kusajili mchezaji yoyote na kwa sasa ndo kwanza nipo ligi daraja la kwanza lakini nimesajili paka messi Etc kama coins znavyoonekana hapo kwenye picha
Screenshot_20190223-124100.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wadau asew nilikuwa natafuta sana jinsi ya ku hack hili game dream league 2019 bila ku root simu na hatimaye nimefanikiwa nina coins ambazo naweza kusajili mchezaji yoyote na kwa sasa ndo kwanza nipo ligi daraja la kwanza lakini nimesajili paka messi Etc kama coins znavyoonekana hapo kwenye pichaView attachment 1030109

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kafile kadogo kana 32kb, nimeshindwa kukaweja hapa but hakahitaji ku root simu, game gurdian au lucky patcher.

SangaweJr
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom