Msaada kuhusu kuhack dream league soccer 18

Msaada kuhusu kuhack dream league soccer 18

C-venture

Senior Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
116
Reaction score
36
Nataka kujua process zote za ku hack hili game pendwa kama kupata coins na kuweka unlimited player development.
 
mkuu hili game uki huck hata alipndz, ushndan unapotea,, kila game unashinda gor 12,,, pambana ukusanye coin
 

Attachments

  • Screenshot_20171220-194547.png
    Screenshot_20171220-194547.png
    179 KB · Views: 235
Sijui kuhack naomba mnifahamishe na jinsi ya kuhack hiyo dream S L
 
Kuna njia simple ya ku hack kwa kutumia lucky patcher kama mtataka naweza washushia ujuzi hapa
 
Eti nikidownload game la DLS18 kule kwenye Acmarket nitakuta lina makoiniiiii lukuki au ndo mpaka ni hack tena?
 
Back
Top Bottom