Msaada kuhusu kubadili kozi chuoni

Ndugu sema tu kama umesha pita hii level ww jimwage tu ila yalaiti ungejua hata robo tu ya shida tunazopata akii ungetuonea huruma kuna watu wa 1 ya 8 wapo nyumban mpaka muda huu naandika na amejaza vyuo vya afya tu
 
CBG Miaka Minne mitano nyuma huko, watu waliifaidi....walisoma Pharmacy, Lab....Safi kabisa...Wengine walisoma hadi MD.
 
Huu ushauri mzuri.

Sasa sijui kama bado Maombi ya Diploma yanatumwa[emoji134]
 
CBG Miaka Minne mitano nyuma huko, watu waliifaidi....walisoma Pharmacy, Lab....Safi kabisa...Wengine walisoma hadi MD.
Miaka hii CBG hakuna kitu kabisa unapoteza mudaa
 
Mkuu uko right kabisa madogo siku hizi wanachagua kozi kwa fasheni! Hasa jina la degree program likimpendeza ila hajui ataenda somea kitu gani
 
Somea unachopenda...

Achana na niliambiwa nisome, nilishinikizwa kusomea, nili.....
LISTEN TO YOUR HEART"
Raha ya kusomea unachopenda ni "RAHISI KUJIAJIRI PIA""

Jiulize unapenda/ulikua unataka/ndoto zako ni kua nani? ANZIA HAPO.

Mfano:
Mi nilisoma PCB ila sijawahi kuwaza kuwa kwenye SECTOR ya AFYA..

Nilipenda biashara NIKASOMEA BIASHARA.

GOOD LUCK.
 
Kibaya zile tunazo zipenda hatuchaguliwi matokeo yake una pata kitu ambacho haujawahi ata kuota tu
Mi ilinitokea hili....

ila nilichofanya ni "Nili chagua course mbovuuu kwenye chuo chenye course nayotaka, NIKAENDA KUBADILISHA CHUO KWENDA COURSE NAYOTAKA""
 
Basi shukuru maana unakuta mtu unataka BVM harafu umechaguliwa education kashe ya kuama course unaweza lia mbona
Mi ilinitokea hili....

ila nilichofanya ni "Nili chagua course mbovuuu kwenye chuo chenye course nayotaka, NIKAENDA KUBADILISHA CHUO KWENDA COURSE NAYOTAKA""
 
Kwanj wenyewe hao SUA wanasema ukisoma hiyo kozi unakuwa nani,mi naona kama housiboi au gelo vilee
 
Una elimu gani mkuu, umefanikiwa kufika level gani
La saba nimefika level ya shule ya msingi...!! Mtu anasoma CBG kukwepa Physics alafu anatarajia aje kusoma Kozi ya Afya ni kupoteza Mudaaa... Ukweli mchungu ukisoma hiyo Comb jiandae kwenda SUA kupambana na wanyama na mimea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…