Msaada kuhusu kozi ya architecture

Msaada kuhusu kozi ya architecture

nikkjems

Member
Joined
Feb 5, 2023
Posts
13
Reaction score
10
Wana JF naombeni mnasaidie kuhusu kozi ya architecture inahusu nini? Na ukisoma kozi hiyo unaweza kufanya kazi sehem gani?
 
Inahusu usanifu Majengo, ni rahisi kujiajiri kutokana na ubora wa kazi zako(output)

NB: Ni kozi inayohitaji utayari wa kutosha, rekodi zinadhihirisha wengi kuitelekeza kozi katikati. Sambamba na hilo ni kozi inayohitaji rasilimali pesa sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom