Msaada kuhusu kozi ya architecture MUST

Msaada kuhusu kozi ya architecture MUST

Joined
Sep 11, 2017
Posts
9
Reaction score
6
Samahinini jamani....binamu yangu kachaguliwa kozi ya architecture Mbeya ila anaonekana hakuipenda sana na aliijaza tu kujazia nafasi....imetokea kumnyima raha kiukweli naomba mnisaidie in detail kuhusu hii kozi ili japo nmtoe wasiwasi huyu binamu.......
Asanteni sana
 
Aende huko atabadili kozi kama anavigezo
...ila iyo koz IPO vizur
 
koz ipo pow bt ingekuw vzr zaid kma ange pata apo ardhi
 
Watz Kwa Mbwembwe!!! Hiyo kama aliiweka Third Priority Ni Kwamba First na Second Priorities Amekosa.....
Na kama amekosa 1st & 2nd Priorities basi Ashukuru Angalau Kupata hiyo 3rd.....
Vinginevyo Asiripoti Chuoni Asubiri Mwakani Aombe Tena Kwa Hicho anachokitaka... Fullstop.
 
Watanzania bwana, kwahiyo yeye alidhani probability ya kupata hiyo kozi aliyoijza ili kujaza selection ni zero? Hapa ndio tunapofeli.
 
Aende akasome asilete mbwembwe
Miaka inabadilika na.wasomi wa kukariri wanaongeza sasa aelete utoto mara vigezo vya chuo vibadilike na.mkopo akose
Ningekuwa karibu ningempiga bakora kama zote...
 
Back
Top Bottom