vnn
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 3,030
- 7,499
Wakuu
Katika mishe mishe zangu nimepita chuo kimoja cha afya
nikashangaa kuona jezi mpya kabisa nilipoulizia nikaambiwa hiyo ni coz mpya ya afya inaitwa COMMUNITY HEALTH lakini sikupata detail za kutosha!
Naomba kwa anayefahamu anisaidie hii kozi imekaaje na wahitimu wake wanaajiriwa wapi na imeanza lini?
Msaada wenu tafadhali