Hiyo kodi ndio nini ?Wadau naomba msaada nimeupdate kodi kutoka play store lakini kila baada ya muda kuna huu ujumbe unatokea,unfortunately,kodi has stopped tatizo ni mini!
Kumbuka Kodi 17 Krypton inabidi uwe na Android Lollipop.Wadau naomba msaada nimeupdate kodi kutoka play store lakini kila baada ya muda kuna huu ujumbe unatokea,unfortunately,kodi has stopped tatizo ni mini!
Vipi Ukijaribu ku install kutoka Website yao?