Msaada Kuhusu kitu kinachoitwa [ POWERSHELL ]

Eti be the first to reply,
Akaah mi sijui, labda tu niseme mleta mada,
Hiyo mada yako haisaidiki maana haieleweki unataka nini.
Kama vipi Google
 
Eti be the first to reply,
Akaah mi sijui, labda tu niseme mleta mada,
Hiyo mada yako haisaidiki maana haieleweki unataka nini.
Kama vipi Google
Kiukwel cna knwledge juu ya hil bt nlifaham baad ya kutak kujfunz IT online, baad ya kuingia YouTube na kufatilia ni kapat info kwamb i must learn POWERSHELL kwakua nlikua cna nnach kijua kuhus powershell nkaon nije kutak ushaur na nfahamu vizur powershell inahusian na nn?
 
Naombeni mnisaidie
Kwa navyoelewa ni kama Command Prompt(CMD) au waweza ilinganisha na Terminal kwemye OS X au Linux distros!

Mfano kwenye CMD au Terminal au powershel unaweza Type hizi commands

Ifconfig
Au
ipconfig

Kutegemea na Operating System utapewa details za network yako!

Kwa kifupi unaweza kuitumia ku Operate Operating system yako bila kuitaji Graphical User Interface!
 
Asant xan mkuu!
Kwaiy only that au kuna kaz nyngn tofaut na hzo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom