mzee wa busara
Senior Member
- Aug 13, 2011
- 181
- 86
please JF nisaidieni namna ya kupata/kuziona namba za kin'gamuzi cha AZAM ili niweze kulipia kwa njia ya MPESA/TigoPESA?,kifupi mimi natumia kingamuzi cha STARTIME ila kuna ndugu yangu yupo mbali kanipigia simu kuniuliza hilo swali nikamwelekeza kucheki kwenye kadi ya hicho kingamuzi(kama ilivyo kwenye hiki cha startime) akaniambia hata hiyo kadi hajui iko wapi,hata kwenye risiti aliyonunulia pia hizo namba hazipo. so muda wote anacheki channel zile za bure tu (local),nisaidieni ili nami nimsaidie ndugu yangu.