Msaada kuhusu ipad na bei zake kwa hapa Tz

Msaada kuhusu ipad na bei zake kwa hapa Tz

T.K

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
345
Reaction score
75
Wadau naomba kufahamishwa kidogo kuhusu ipad kwa lugha nyepesi tu achana ya ile ya kwenye website na ipi faida ya kutumia ipad ukilinganisha na Laptop?
Pia nimeona ipad kuna wanayosema 32Gb na 64GB hizi zinawakilisha nini......na kwa hapa Dar es salaam wapi naweza kununua na kwa bei gani?
 
iPad ni media consumption device haiwezi kureplace laptop, so utaitumia sana sana kusoma web maybe kuangalia video fupi otherwise inakuwa uncomfortable, kucheki na kuupdate facebook, kusoma mail etc. Advantage kubwa labda ni portability na battery life.

32/64GB ni harddrive size.
 
Back
Top Bottom