tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,855
- 1,117
Wakuu nina tatizo na hii application, kila niiweka serial number za crack inaniambia ni fake. wiki kama mbili zikizopita niliinstall na kuitumia...
Je nitasolve vipi hili tatizo? Kuna application yeyote inayofanana na IDM kwa ufanisi?
Je nitasolve vipi hili tatizo? Kuna application yeyote inayofanana na IDM kwa ufanisi?