Msaada kuhusu ICT, IT na CS

Msaada kuhusu ICT, IT na CS

FezzyJoe

Senior Member
Joined
Jun 2, 2017
Posts
116
Reaction score
48
Naomba kufahamishwa ukiwa na
History E
Geography S
English D
Unaweza soma Diploma ya IT, ICT au CS
 
Jamani naomba maelezo juu ya hicho nilichoomba msaada yaani kama inawezekana na chuo husika ili nifanye Application kabla ya Muda kuisha sasa kweli kwa kusoma na kuangalia tu hainisaidii
 
https://cse.udsm.ac.tz/index.php/programmes/non-degree/diploma-in-computer-science

Soma entry requirements hapo au hapa kwenye screenshot
2018-07-07-15-002.jpg
 
Nazidi kuomba ushauri zaidi
PLEASE HELP ME
 
Km unamsingi mzr wa hesabu utaweza. Ila km unajua quadratic tu huku logarism ikikutoa jasho acha tuu maana utapata tabu sana
 
Km unamsingi mzr wa hesabu utaweza. Ila km unajua quadratic tu huku logarism ikikutoa jasho acha tuu maana utapata tabu sana
Mkuu usimtishe we mwache akasome tu hesabu ni zilezile tu uwezo wako tu ila kama upend hesabu hapo kaz unayo kule ni kushuka mathematics kama O & A LEVEL
 
Mkuu usimtishe we mwache akasome tu hesabu ni zilezile tu uwezo wako tu ila kama upend hesabu hapo kaz unayo kule ni kushuka mathematics kama O & A LEVEL
Asante kwa kunijaza ujasiri
 
Km unamsingi mzr wa hesabu utaweza. Ila km unajua quadratic tu huku logarism ikikutoa jasho acha tuu maana utapata tabu sana
Usimtishie dogo amani hakuna kigumu mkuu vyote vinawezekana ukiwa na nia!!!!
 
Back
Top Bottom