zakayohabeli
Member
- Aug 14, 2019
- 58
- 25
Mute ni kustopisha sauti. St-by ni Standby inahitajika volt 5 kama switch ili iruhusu Curent ku flowNaombeni mnisaidie wakuu maana nataka kutengeneza amplifier kwa kutumia ic ya tda7393 ila kuna sehemu imeandikwa ST-BY na nyingine MUTE. Sasa hizo sehemu mbili nimekosa cha kuunganisha wakuu msaada tafadhali.
Asanteni.
View attachment 1252600View attachment 1252601
Mute ni kustopisha sauti. St-by ni Standby inahitajika volt 5 kama switch ili iruhusu Curent ku flow
Ndiyo Mkuu.
Ila kama unaingiza signal za stereo pekee bila mono, hakikihasha una-ground pin ya Mute2 ambayo ndo ina-control signal za mono au u-ground pin ya IN-MONO. Pin ya MUTE1 ambayo ina-control signal za stereo iache iki-float(usiiunganishe popote) ili upate output ya stereo.
Kwa upande wa TDA1517 picha ya layout imeweka wazi: Vst-by = Vcc, hivyo unganisha ST-BY na VCC
KaribuNajifunza maufundi ya hardware
mkuuNdiyo Mkuu.
Ila kama unaingiza signal za stereo pekee bila mono, hakikihasha una-ground pin ya Mute2 ambayo ndo ina-control signal za mono au u-ground pin ya IN-MONO. Pin ya MUTE1 ambayo ina-control signal za stereo iache iki-float(usiiunganishe popote) ili upate output ya stereo.
Kwa upande wa TDA1517 picha ya layout imeweka wazi: Vst-by = Vcc, hivyo unganisha ST-BY na VCC
Naam Comrademkuu
[/QUOTE ]
Naam Comrade
Unamaanisha nini kuitumia ikiwa pale pale?Kuna radio ya gari nilkuta sehemu sasa nikataka tumia amp yake ikiwa pale pale kwa kusomakusoma data sheet ya IC husika ni TA8205 lakn nikiipa umeme 12V na nikaipa signal spika inaimba kwa mbali afu kwa kukwaruza ..nini inaweza kuwa tatizo au ndo maswala ya mute and standby.....
Unamaanisha nini kuitumia ikiwa pale pale?
kamanda umekua adim sanaKama hukuwasha radio nzima, voltage supply na signal uliingizaje?
Anyway, hakikisha voltages za:
pin #9 (Preamp Vcc),pin#10,17 (Vcc) ni 9~18V,
pin #1 (Mute) ni 0V
pin #4 (stby) si chini ya 3V.