Msaada kuhusu Huawei ascend Y300

Msaada kuhusu Huawei ascend Y300

Immortal_MH

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2013
Posts
1,240
Reaction score
2,252
wakuu hebu nisaidieni
Ninatumia huawei y300, ila toka juzi inakataa ku-install apps kutoka playstore.
Nisaidieni nini tatizo na jinsi ya kulitatua.
 
kama unatumia tigo nadhani tatizo lipo kwao, jaribu kutumia mtandao tofauti uone.
 
Check storage (card au internal memory) kama kumejaa
 
Nenda pale quality center tigo shop kuna jamaa wa huawei ana deal na matatizo yote ya huawei km tu ulinunua cm yako toka tigo.huawei y 300 zinatatizo la kiufundi toka kiwandani.
 
shida nimepoteza risit yake
pia vipi gharama zake
 
Ni bure kbs,huawei wanajua hilo tatizo ndio maana wameleta fundi wao.pia ongea nae atakusaidia ku unlock kwa elfu 30.
 
wakuu hebu nisaidieni
Ninatumia huawei y300, ila toka juzi inakataa ku-install apps kutoka playstore.
Nisaidieni nini tatizo na jinsi ya kulitatua.

Nahs ni simu zenyewe imewai nitokea kwa hizo simu ikawa inanilazimu ku restart then nasubiri sana ndo inakubali.

Mwisho wa siku niliamua kuiuza iyo ascend maana niliona kero
 
asante mkuu
nikipata muda nitaenda mkuu
again thanx mkuu Jah bless U
 
Nahs ni simu zenyewe imewai nitokea kwa hizo simu ikawa inanilazimu ku restart then nasubiri sana ndo inakubali.

Mwisho wa siku niliamua kuiuza iyo ascend maana niliona kero

hata mimi nimepata mteja ila sitaki kumuuzia mtu galasa ndiyo maana nataka ufumbuzi wa hilo tatizo kwanza kabla ya biashara
 
Ni bure kbs,huawei wanajua hilo tatizo ndio maana wameleta fundi wao.pia ongea nae atakusaidia ku unlock kwa elfu 30.

Ku unlock pale kariakoo elf 20 tu..tena wale jamaa wanafanya hata uwe mbali (remote unlocking)
 
niki-download app inakubali ila ikiwa ina-install itatumia muda mrefu kisha inakata bila notification yoyote

Inaezekana memory haitoshi ifuatavyo.
1.Nenda Settings>storage afu weka SD CARD iwe default ili kusaidi apps znazoweza ziwe znaingia kwenye SD card.
2.Pia waweza ingia online kwa computer yako tafuta apk ya 360 Security Antivirus,install it manually kwenye cm yako afu ikusaidie kufuta junk files and other unnecessary files kwenye simu yako.Baada ya hapo utakuwa umefree space kibao for incoming files!
 
wakuu hebu nisaidieni
Ninatumia huawei y300, ila toka juzi inakataa ku-install apps kutoka playstore.
Nisaidieni nini tatizo na jinsi ya kulitatua.

Ilisha wahi nitokea kwenye y300 yangu, internal memory ilikuwa kubwa bt cant install apps, ina download then inanambia low memory, so nlichofanya kwenda kwenye settings then manage apps then all apps hapo una clear cache, nlipo clear cache memory space ikarudi na apps zikawa installed kama kawa
 
Nenda pale quality center tigo shop kuna jamaa wa huawei ana deal na matatizo yote ya huawei km tu ulinunua cm yako toka tigo.huawei y 300 zinatatizo la kiufundi toka kiwandani.

Mkuu ni hilo tatizo la ku install apps au kuna tatizo lingine?
 
Back
Top Bottom