Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,541
- 31,712
Wadau Nina tatizo LA taa kuendelea kujiwasha na kuzima pale ninapokuwa nimeizima... Natumia energy saver aina ya Torch... Inawaka na kuzima kila baada ya sekunde kadhaa japo haiwaki completely, Ila nikiiwasha haina tatizo!!
Wajuzi Wa mambo naomba mnisaidie kama ni tatizo LA taa au ni wiring maana mafundi nimeita wanapiga porojo tu!!
Wajuzi Wa mambo naomba mnisaidie kama ni tatizo LA taa au ni wiring maana mafundi nimeita wanapiga porojo tu!!