Msaada kuhusu hii BVM

samahani kwa division two ya 12 pcb anaweza pata?
 
Utakuja wakati mwafaka, kwakuwa now ile faculty ya veterinary medicine imekuwa COLLEGE OF VETERINARY AND MEDICAL SCIANCES (CVMS) kwahiyo kimekuwa chuo ndani ya chuo
 
VETERAN by definition;-
A person with long experience of a particular activity.
OR
A person who has served in the armed forces, especially an old soldier who has seen long service.

Sasa wewe unataka kusoma digrii yake.
atkuwa amekosea kuandika may be alimaanisha Veterinary medicine na si veterani lakini hongera sana kwa kuelezea maana ya hilo lako: naamini aliye kosea kuandika atakuwa makini wakati mwingine.
 
BVM ndio kozi rahisi rahisi kuliko kozi zote pale sua. Tatizo lake ni muda tu wa kozi ambao ni mrefu.miaka mitano.
Ikifuatiwa na Bsc Agriculture general, Bsc Agric Engeneer, Biotechnology ,nutrition, informatics

Hizi ndio kozi rahisi sana kupita maelezo na zina future nzuri sana.
Ni very rare kusikia mtu wa kozi hizi ka-disco . Mara nyingi wanaishia ku-carry tu.


Ukilinganisha na kozi ngumu sana ambazo ni pamoja na Bachelor of Rural Dev, BTM, Extension, informatics, agribusiness, wildlife
 
Kama unakichwa cha kisharobaro sikushauri uende huko!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…