Msaada kuhusu Galaxy Y Duos

Msaada kuhusu Galaxy Y Duos

Qifrishy

Senior Member
Joined
Jul 6, 2014
Posts
169
Reaction score
42
Habari wakuu.

Nina simu aina ya Galaxy Y Duos, shida ni kuwa nikiingia ndani haifanyi kazi kabisa yani network inakata japo za wenzangu zinafanya vizur tu.

Je! hapo tatizo ni nini? Na nalitatua vipi?

Ahasanteni.
 
Back
Top Bottom