Halo wana JF mimi ni mwana JF mwenzenu sijawahi miliki wala kutumia dish na decoder ambazo ni free to air sasa nataka kuwa na dish hilo,please naomba ushauri wenu ni aina ipi itanifaa la kampuni ipi bei gani na channel zipi litakuwa nazo . natanguliza wingi wa shukrani JF kisima cha maarifa oyeee!