Msaada kuhusu Friji

Olsea

JF-Expert Member
Sep 11, 2012
332
250
Habari Wakuu naombeni ushauri,

Nina ka Friji kangu kadogo tatizo nikiweka vitu havipati ubaridi kabisa ila ile sijui evaporator pale juu inakuwa na ubarid saa nying hadi panaganda vibarafu vidogo ila vitu nilivyoweka havipati ubarid kabisa.

Nipo Mkoani huku Fundi naemjua simuelewi naona mbabaishaji tu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom