Msaada kuhusu elimu na Vyeo Jeshini

Yeah US magenaral wanaenda operation na wanapigana kama wanajeshi wengine. Kuna general mmoja jina limenitoka ila alishakuwa waziri wa ulinzi nchini marekani.
Wa huku kwetu huwa hawaendi kabisa?
 
Ana Bachelor ya Human Resource Management
Kwanza ana bachelor ya masomo gani?. Kama udaktari au Masuala ya IT sawa. Ila nje ya hapo, akapambanie tu bahati yake anaweza asipate anachokitaka.
 
Ana Bachelor ya Human Resource Management
Mwambie kwasasa itamchukua si chini ya miaka 5 kupata hicho cheo, tena kanyota kamoja[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Shukrani mkuu halafu eti nasikia jeshini unaweza kusomea kitu kingine tofauti na ulichosomea uraiani ni kweli?

Yaani mfano uraiani umesomea udaktari halafu jeshini ukataka kusomea urubani inawezekana kweli hiyo?
 
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]kweli mkuu au unatania tu?

Umeelezea vizuri sana
 
Mtu anaeulizia JESHINI mshahara sh ngapi...Hafai kuwa hata jirani ake mwanajeshi achilia mbali kukosa sifa zakuwa mwanajeshi.

Sijawahi tamani na sitokaa nitamani kuwa mwanajeshi...Sina kipaji hicho kabisa.
 
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]kweli mkuu au unatania tu?
Sikutanii kuna baba yangu mdogo yupo huko, alinambia JKT unaweza kukaa hadi ukamaliza mafunzo au inawezekana ukaingia bila kupitia JKT kwa mujibu wa jinsi watakavyotangaza wao jeshi watu wanaowataka kutoka uraiani, lakini mafunzo TMA alinambia si chini ya miaka 3. Hivyo kama kweli huyo mdogo wako anataka kwenda huko ajiandae kupoteza si chini ya miaka 5. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Shukrani mkuu halafu eti nasikia jeshini unaweza kusomea kitu kingine tofauti na ulichosomea uraiani ni kweli?

Yaani mfano uraiani umesomea udaktari halafu jeshini ukataka kusomea urubani inawezekana kweli hiyo?
Ndio inawezekana kabisa fulsa zipo, unaweza kujiendeleza kwa kozi mbalimbali kulingana na sifa yako mfano PCB kwa madaktari, PGM marubani n.k
 
Kwahiyo wote ambao ni wanajeshi hawajawahi kuulizia mishahara jeshini?
Mtu anaeulizia JESHINI mshahara sh ngapi...Hafai kuwa hata jirani ake mwanajeshi achilia mbali kukosa sifa zakuwa mwanajeshi.

Sijawahi tamani na sitokaa nitamani kuwa mwanajeshi...Sina kipaji hicho kabisa.
 
Oohh nimeshakuelewa hiyo miaka mitatu unayosemea wewe kuna mdau ameshaelezea kule juu kuwa ni kwa wale wanajeshi ambao wanataka nyota ila hawana degree yoyote kwahiyo wanapiga course miaka sawa na ya kusomea degree ila kwa mtu aliye na degree tayari basi TMA ni miezi tisa tu na si chini ya hapo
 
Yeah hilo sawa ila nilikuwa nauliza kwa mfano mtu hajawahi kabisa kusomea uhandisi yaani tuseme uraiani kasomea unesi halafu akaenda jeshini je inawezekana akasomea uhandisi huko jeshini kitu ambacho hajawahi kusomea hapo kabla?
Ndio inawezekana kabisa fulsa zipo, unaweza kujiendeleza kwa kozi mbalimbali kulingana na sifa yako mfano PCB kwa madaktari, PGM marubani n.k
 
Labda jeshi la Sungusungu, sasa hivi majeshi yote haijalishi linaitwaje huanzi na nyota

Labda kama taratibu zibadilishwe sasa... ila wote naowafahamu wameingia na Degree zao moja... wametoka na nyota moja moja... zikatoka kozi wameenda sasa wana nyota mbili mbili...

Cc: mahondaw
 
Yeah hilo sawa ila nilikuwa nauliza kwa mfano mtu hajawahi kabisa kusomea uhandisi yaani tuseme uraiani kasomea unesi halafu akaenda jeshini je inawezekana akasomea uhandisi huko jeshini kitu ambacho hajawahi kusomea hapo kabla?
Duuh hii hatari ninachojua mimi Unaenda na basic education labda ya Form six ulisoma PCM then unaenda kusomeshwa uingeneer wa Mitambo ya vita hapo sawa lakini sio Form four eti uruke uende mpaka Eng duuh... Ndo maana wanafunzi wa vyuo na form six wanakuwa na chance kubwa zaidi maana kumuendeleza form four au la saba akasomee uingeneer ni balaaa.. hana msingi mzuri kuhusu hayo masomo so ni ishu sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…