Msaada kuhusu elimu na Vyeo Jeshini

Yeah US magenaral wanaenda operation na wanapigana kama wanajeshi wengine. Kuna general mmoja jina limenitoka ila alishakuwa waziri wa ulinzi nchini marekani.
 
Kwanza ana bachelor ya masomo gani?. Kama udaktari au Masuala ya IT sawa. Ila nje ya hapo, akapambanie tu bahati yake anaweza asipate anachokitaka.
 
Mkuu umeniacha hoi kweli iyo kazi ni uzalendo tu sio kwenda kufuata pesa
 
Mkuu yeye kasema analipenda jeshi na ataenda bila kujali vikwazo vitakavyojitokeza ila mimi ndo nimemsaidia kuuliza tu
Sawa nimekusoma boss, kwa mshahara now days kupo poa si kama zamani! akikunjua moyo fresh tu, kuna mambo mengi mazuri si vema kuweka kila kitu hapa.kwa upande wa vyeo mifumo imekuwa ikibadilika mara kwa Mara ( no specific formula) ila kwa sasa utaratibu ni lazima uanze na vyeo vya chini kabla ya nyota ya kwanza hasa kwa askari wa muda mchache kazini, Kama access ipo aende tu atafurahi mwenyewe ni uvumilivu na nidhamu kwa sana mengine atayakuta huko huko.
 
Kama anapenda basi hawezikuona shida yeyote, passion ndiyo kila kitu kwenye mafanikio ya maisha yetu ya kila siku.

Once you find out what your passion is. You will live the life that matters
Exactly.
 
Kwanza ana bachelor ya masomo gani?. Kama udaktari au Masuala ya IT sawa. Ila nje ya hapo, akapambanie tu bahati yake anaweza asipate anachokitaka.
Nnachoshangaa wanziacha sana za engineering na kuzipa kipaombele sana hyo ya udaktari wakt awamu hii mh raisi ametokea kuliamin jeshi( jkt) na kulipa miradi Mkubwa sana ya kitaifa inahitajika watalamu wa kutosha kwenye nyanja ya uhandisi kutimiiza na kuendana na matakwa ya amri jeshi mkuu
 
Hahahaha wewe jamaa umenichekesha
 
Duh ila kwa yeye ataweza tu maana kapenda mwenyewe
Inategemea na fani yake ila kwa sasa huyo mdogo wako na bachelor degree yake aende uone degree zimekuwa kama mchele jeshini kwanza hazitakiwi zinafanyiwa figisu sana kwa sababu maalumu.
.
Mazoezi ni ya wote usiombe yakukute utakunywa maji sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…