Msaada kuhusu elimu na Vyeo Jeshini

Msaada kuhusu elimu na Vyeo Jeshini

Anawaza cheo hahaha.
Kwanza itabidi aanzie JKT akitoka huko ndipo TMA itafuata hatapata ULUTENI USU kama ilivyokuwa zamani bali ataanza na sergeant (sajini) Bachelor degree zimekuwa nyingi sana jeshini kama mchele 😝😝😝.
.
Bana kule hakufai kuna hivi vitu
1. Mwendo mkali
2. Tumekomaa
3. Heavy heart
4. Vunja viungo

Heavy heart ni shenzi 🙆🙆 kuna mwenzao aclamatization ni shida simkatishi tamaa mdogo wako ila ajiandae psychologically
.
mimi sio mwanajeshi🚶🚶🚶
 
Mpaka mi naondoka niliacha mambo yakiwa hivi..

Form 6 - nyota mbili (luteni) kuna mtu namjua kapata hicho cheo.

Bachelor degree - nyota tatu (captain).

Lazima apite Jkt miezi 6 ya kujitolea, baada ya hapo atapiga kozi ya TPDF yaani bakabaka kwa muda usiopungua miezi 4 hadi 6. Baada ya hapo ndio ataenda monduli kupiga kozi ya cadet officer kwa muda miezi 9. Baada ya mlolongo wote huo ndio ataweza kuwa afisa wa jeshi.

Kuhusu mshahara nakumbuka captain wetu aliyekua na nyota 3 alikua anachukua m3 kasoro hivi, kutokana na kauli mwenyewe. Na wenye nyota 2 inacheza kwenye m2 mbili kasoro point kidogo (kwa hapa am not sure).

Naongea from my experience ya miaka 5 nyuma, labda mambo yabadilike hivi sasa.

I hope nimesaidia.
 
Dah...we jamaa wewe!! Mungu huwa halali, unapata dhambi!!
 
Hmmm...okay its yo experience we can't judge you.
Experience yangu me ya miaka miwili iliyopita plus na huu wa 3.nachokumbuka ni mwal.wetu alikuwa na nyota mbili na alikuwa na masters.
My friend Ana elimu ya form 6 ni private ndo kapata this August anaenda kozi ya usalama. Haina nyota hiyooo
 
Mwambie aje huku kwetu kwenye Jeshi usu
 
Attachments

  • IMG-20190726-WA0001.jpeg
    IMG-20190726-WA0001.jpeg
    65.9 KB · Views: 370
Mnaopenda kwenda jeshi sababu ya mishahara kuna siku mtagharimika tu... Every choice has its consequences.

I wish jeshi letu lingekuwa kama marekani. Maana wenzetu mpaka magenral wanaenda operation.

Bongo ingekuwa hivo basi watu wangekuwa wanaenda jeshini kwa kujitoa na siyo kwa ajili ya njaa ya pesa...
 
Hahaha kazi ya wito hiyo ila siku hizi hakuna wito tena
 
Itamchukua takribani miaka miaka 2 kasoro hivi kutoka jkt hadi kuwa officer wa nyota moja (Luteni - usu)
Hapo ni nje na kusubirishwa kabla ya kwenda kozi yaani tunaasume ameenda smoothly mwanzo mwisho
 
Unaanza uzalendo, ukuruta, service man/girl, bakabaka, then inakuja course ya maafisa anaenda. Ila mambou yamebadilika inaweza chukua muda kupata nyota. Kulingana na nlivyopita mujibu wa sheria, 😉
Duuh kote huko? Hiyo uzalendo ndo course gani?
 
Utaratibu sasa hivi umebadilia

MOJA: Askari anayetakiwa awe na nyota kwa UMRI ni chini ya miaka 23 kushuka chini,kwa experience yangu Uncle angu mda huu anapiga hiyo course ya uafsa.

MBILI: Hata kama utakuwa na Masters ni lazima uanzie chini yani nyota moja lakini kabla ya hapo utaratibu ulikuwa mwenye degree mfano ya MD atachukua nyota tatu.

TATU: course ya Uafsa ni miezi 9 na sio chini ya hapo.

Nb: Kuna uncle wangu mkubwa ana elimu ya form six lakini hakupata cheo chochote ila alivaa UKOPLO kwa Sababu ya fani yake CLINICAL OFFICER.

Jeshini usipokuwa na refa utapiga mihayo Sana utashangaa wa darasa la saba anavaa bakabaka ila mwenye Degree ya Engendering anarudi nyumbani.
 
Back
Top Bottom