hujanielewa, kama unataka kusoma engineering za sua(Agriculture Engineering, water and irrigation engineering nk) kwa mtu wa EGM anaweza kusoma ila sharti matokeo yake ya O Level awe amepata angalau C kwenye Physics na Chemistry. kwa matokeo yako hauwezi kusoma hizo kozi za engineering za sua.