Habari wakuu.
Kuna ndugu yangu ameitwa interview sehemu mbili moja ni NGO ya mazingira na nyingine ni DTB.
Sasa kaniuliza kuhusu Mishahara na benefits za bank teller kwa DTB..
Mi sina uzoefu mzuri kwenye nyanja za ma bank kwa io ningependa msaada wenu juu ya hilo.
Anatakiwa kureport interview kuanzia j3.
Shukrani.
Hao DTB sina hata hamu nao... Email address yao feki kwanza. Nikapeleka kwa mkono headquarter kwao huyo secretary jibu na jicho alivyonitolea niliondoka bila hata kuaga
Hao DTB sina hata hamu nao... Email address yao feki kwanza. Nikapeleka kwa mkono headquarter kwao huyo secretary jibu na jicho alivyonitolea niliondoka bila hata kuaga
NGO magoli, DTB nilipeleka CV yangu tena headquarter ( one month later )wana wa field wakaniambia CV yako ipo kwa secretary kwenye droo,.,.,mean haijapelekwa kwa HR.
wayiiiiiii