Msaada kuhusu dish

Msaada kuhusu dish

Box 2

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
506
Reaction score
117
Habari wana jf,nimenunua dstv decorder nje ya Tanzania,naomba kujuzwa ili kukitumia ni lazima ninunue na dish la dstv ama naweza funga dish lolote?,naomba kujuzwa pia ni dish lipi zuri ama bora ikibidi na bei pia,ukubwa wa dish ndio ubora ama yote yana ubora sawa,ntashukuru kwa majibu mazuri.
 
Kanunue dish la DSTV pia, dish bora siku zote litaendelea kuwa la DSTV tu, bei ni kati ya 150,000/= hii ni complete sasa kwa dish peke yake sijuwi bei gani, wapigie DSTV kwa kubonyeza hapa
 
Nashukuru mkuu kwa hiyo link yao lakin bado sijapata majibu ninayoyataka,ahsante sana
 
Mkuu ungetueleza kua hiyo receiver unataka kuitumia hapa au nje ya nchi tena ungetaja ingekua vema. kuhusu kupata signal unaweza kutumia dish lolote isipokua lazima liwe na ukubwa kati ya ft2.5 na ft3.
 
Ahsante mkuu,nataka kutumia hapahapa tena dar
 
Mkuu madishi yote yana principle moja ya kufanya kaz likiwa kubwa linakuwa na focal length kubwa pia lkn haina haja kanunue tu la dstv km jiran yko ana dstv unaweza kutumia lake cha kufanya nunua splitter na cable yko kila mtu atabadilisha channel kivyake kweny receiver yke. Afu hujasema kuhusu kadi ya receiver yko ndo kitu muhim hata kuliko hyo receiver umenunua nchi gan za dstv znatofautiana kutokana na zone nwdays
 
mkuu nilinunua mji unaitwa Livingstone Zambia,ilikua ni offer ya xmas na bei ilikua murua kuliko hapa kwetu na kadi ipo pia mkuu na niliambiwa kadi ile ni internationawise,ahsante kwa maelezo yako mazuri.
 
Kabla ujanunua chochote kwanza piga namba hii 0222199600 watajie namba ya kadi na namba ya dekoda kisha sema kama umenunua nje ya bongo wao watakwambia kama inafaa au wakuuzie nyingine hayo Madekoda ya nje mara nyingi huwa ayatumiki hapa bongo ukikwama sema
 
uliona offer ila ikigoma inakuwa majanga sungenunua tu hapahapa tu maana ni 149000 tu
 
haya mkuu ahsante.
 
uliona offer ila ikigoma inakuwa majanga sungenunua tu hapahapa tu maana ni 149000 tu

mkuu bei niliyonunua hata nusu ya hiyo haifiki,ikigoma sio isue kubwa sana mkuu ntaenda nayo ikatumike huko mkuu,tupo nchi mbili mkuu.
 
Back
Top Bottom