Msaada kuhusu diploma ya ualim

Msaada kuhusu diploma ya ualim

yahyakabila

Member
Joined
Aug 11, 2016
Posts
19
Reaction score
10
Nina elimu ys form six nataka kusoms ualim diploma ya secondar lkn nadikia mwaka huu hakuna diploma ya secindar nimeshauriwa nichukue diploma ya msingi, kwahyo nikisoma hiyo diploma ya msingi nikifaulu vizuri naweza kuja kuomba digree ya ualim wa secindary?
 
Sio lazima ukasome ualimu ivi nyie vijana mbona mmng'ang'ania sana ualimu
 
Nina elimu ys form six nataka kusoms ualim diploma ya secondar lkn nadikia mwaka huu hakuna diploma ya secindar nimeshauriwa nichukue diploma ya msingi, kwahyo nikisoma hiyo diploma ya msingi nikifaulu vizuri naweza kuja kuomba digree ya ualim wa secindary?
Andika secondary
 
Umewaza vizur ingawa wengi hawakuelewi
Ulipataje matokeo yako ya kidato cha sita
 
Wewe muongo bhana diploma ya msing ipo certficate ndi hakuna sasa hivi.
Ni kweli diploma ya msingi ipo ambayo ndo kigezo cha kusoma diploma na sio form six.
Hicho cheti cha six hakina kazi kinatakiwa cha olevel kilichosimama na division three kwenye kikao kimoja
 
Duuuuuh aiseeee hii hatari kwa uo uandishi wako nawewe unataka kua mwalimu..... Duuh... Mama ndalichako unakazi kubwa sana....katika kuboresha elimu ya nchi hii...
Leo umewakuta watu wapo katika mood nzuri...kwa uo uandishi wako ungejibiwa vibaya mpaka ukajuta kuanzisha thread Jf..
 
uo=huo
 
jaman diploma ya primary ipo,~vyuo vile vilivyokuwa vinatoa certificate ,saiv ndo vnatoa dploma ya msingi,, na hakuna certfcate, ila ndo walewale,,, mf tandala,tarime,mrutungulu, nk,, ila kwa we wa 4m six ata kama una four, si uende diploma ya secondary au za afya! au umesoma art?
 
Taja chuo chochote chenye wanafunzi wa diploma ya prmary
Walikuwepo hapa BUTIMBA TEACHER TRAINING COLLEGE wamehamishwa wote kwenda Bunda TTC Tarime TTC&Murutunguru TTC now Chuo kipo katika ukarabati wa hali ya juu kupokea vijana toka UDOM wao pia wanakuja kusoma Diploma in primary education

Muwongo wew wanaenda kusoma uwalimu wa secondary na sio primary. Primary wamepangiwa kasulu, tabora, moshi
 
Back
Top Bottom