Msaada kuhusu degree courses za CBG

Msaada kuhusu degree courses za CBG

Sifa ya kusoma vertariany(animal doctor anatakiwa amepata alama gani form six?
Check hiyo screenshot
Screenshot_2020-08-23-15-50-22-33.jpg
 
Mzee course ya afya iliyobakia kwa CBG ukiachana na zile zilizopo SUA ni pamoja na bacherol of environmental health science ,bacherol of clinical food nutrition and diebet ambazo at least uwe na C ya Chemistry.
Mkuu ni at least D (principle pass) na sio C
 
Kwahyo tunaotibu mbuzi so wasomi nn..... Veterinary medicine its a respected degree world wide...
Pharmacy bila physics husomi...!!! CBG siku hizi comb ya ovyoo mzee utaishia kwenda kusomea kutibu Mbuziii
 
Mwaka jana CBG hawakuwa na vigezo vya kusoma MD wala Nursing. CBG ni kozi inayoelea angani na inabadilika vigezo vyake kila wakati.

Ni kozi ngumu lakini samahani, haina tija sana baada ya kumaliza kidato cha sita.

Kifupi kwa siku zijazo si kozi ya kumshauri mtu kusoma kama hataki kuwa mwalimu baadae. Uhakika upo wazi kwenye ualimu CB, CG nk.
 
Jaman prospectus mpya ya 2020/2021 imetoka?na naipataje
 
Back
Top Bottom