Hapanakwa mtu aliyepata 3 ya kumi na tatu anaweza soma animal doctor (BMVR)
Pitia Tcu Guidebook.. utapata lightJamani msaada
Chemistry-E
Biology -C
Geography-D
Akasome nini huyu jamani?
Je? Biotechnology anaweza soma? Nursing je?
Au ipi kozi ya mifugo.
Mawazo
IngawaJamani msaada
Chemistry-E
Biology -C
Geography-D
Akasome nini huyu jamani?
Je? Biotechnology anaweza soma? Nursing je?
Au ipi kozi ya mifugo.
Mawazo
Asante mkuuPitia Tcu Guidebook.. utapata light
Sorry Bios, Environmental studiesBsc in chemistry ukiwa na E unasoma?
Jamani msaada
Chemistry-E
Biology -C
Geography-D
Akasome nini huyu jamani?
Je? Biotechnology anaweza soma? Nursing je?
Au ipi kozi ya mifugo.
Mawazo
Course zote zinazohusu faculty ya afya ukiachana na MD na DDS pekee. zinazobak zote at least uwe na C ya chemistry.Course gan?
Aah ok nimekupata lakn si ni kwa PCB tu au ata CBG?
Pharmacy bila physics husomi...!!! CBG siku hizi comb ya ovyoo mzee utaishia kwenda kusomea kutibu Mbuziii
mala ya mwsho CBG walichaguliwa pharmacy ilkua 2016 kuanzia 2017 ilkua ni PCB tu mm pia nilimaliza CBG that year ndo mana najuaUnasoma mkuu,,Mimi kuna dogo langu anasoma Pharmacy na hakusoma Physics
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji120]Wakishafungua maombi ya vyuo hebu jaribu kutembelea mabanda yao ya vyuo husika wakupe mwanga, kama upo mkoani tembelea maonyesho ya nane nane huwa wanakuwa na mabanda pia