Msaada kuhusu CPSP (PSPTB EXAMS) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kuhusu CPSP (PSPTB EXAMS)

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kagarara, Feb 21, 2012.

 1. k

  kagarara Senior Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajf wanaohusika na utaalamu wa manunuzi na ugavi naomba mnisaidie kujua ni lini mwisho wa kulipia mitihani ya board ya mwezi wa tano mwaka huu. Nimeiweka hii thread huku kwa sababu nimejaribu kuiweka jukwaa la elimu lakin responce ni ndogo. Naomba msaada wa haraka ndugu zangu.
   
 2. k

  khadijha00 Member

  #2
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 3
  Tarehe ya mwisho ya kujisajili kufanya mitihani ya Bodi (Examination Registration) ni Machi 31 kwa mitihani ya mwezi Mei na tarehe ya mwisho ya kujisajili kuwa mtahiniwa wa Bodi (Candidacy Registration) ni Februari 28.
  Baada ya tarehe hizo utapaswa kulipa faini ndani ya wiki mbili, kwa kila siku utakayokuwa umechelewa.
   
Loading...