Msaada Kuhusu course ya Computer science

Na ndo eneo ambalo graduate akiwa competent hasa in programming hawezi kuzurura mtaani. Na ni course ambayo mtu anaweza kujiajiri kwa mtaji wa komputer yake na ujuzi.

Naomba unifafanulie hapa, kivipi ukiwa competent huwez kuzurura na unawezaje kujiajiri kwa kuwa na PC tu, thanks.
 
Lazima uwe umesoma hesabu advance ili usome course hiyo ya Computer Science au computer Engineering.

Watu wa PCM na PGM mara nyingi.

Kwa combinations za PCB na EGM kuna, Information Technology, Information Systems, Multimedia Technology, Education with ICT, Computer and Information Systems. Zote hizo ni IT. Hasa check kwa vyuo kama UDSM, UDOM,DIT na MUST.
 
Back
Top Bottom