happy amos
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 251
- 434
Cm yangu inamiez 3 nikiitouch inavibrate na kuleta application nyingi nyingi baadae inaandika recent' wakati mwingine touch inagoma kabisa! Nikiwa naandika msg inarudia rudia maneno msaada nifanyeje?