Msaada kuhusu chuo cha Ifakara

Hiko ni kipya tu dogo nenda kapige shule.. Umepta chuo kilichopo maeneo yasiyo na gharama za maisha, Kule ubwabwa ni shng Jero tu sahani tele..
Unaweza kuwekeza na kilimo kwenye mashamba ya mpunga kama uko na interest ya kufanya kilimo
 
Na samaki kibao, asubuhi, mchana na usiku ni matangazo ya samaki tu. Kambale, perege, njuju, kamnyomeke.
 
Jamani nimechaguliwa chuo cha St Francis Ifakara... Anaekijua au aliesoma au anaesoma aniambie kikoje.
Umechagulia kwa ngazi ipi Cheti, Diploma, Degree Au Masters

Na Umechaguliwa coz gani kwa ngazi ya elimu ulochaguliwa hapo
 
Hongera sana ni chuo kizuri sana na Wana hospital nzuri sana piaa kwa sasa wameongeza (GOOD SAMALITAN CANCER HOSPITAL) Kama eneo la practical.

Japo walifungia kipindi flan hiv but now wameruhusu.

Kuhusu menyu wory out, jipange kula wali kwa bei nafuu
HONGERA SANA.
 
Upande wa menyu utakula had uache

Mchele kilo Jero
Samaki wa buku unajaza besen zima

Kama mpenzi wa burudan Kuna vigodoro vya kuzid

Wahi mapema Kuna Hostel ya nyota moja imejengwa mwaka huu I think mtakuwa wa Kwanza kuingia

Upande wa Hospital zipo Tena za hadhi ya juu
Chuo kina hospital mbili

Samaritan Cancer hospital na St Francis Hospital

Mandhari ya chuo cyo mazuri kiviiiiile
Ila utaenjoy
 
Ni kipya ila sio sana kilianzishwa 2010
Hiko ni kipya tu dogo nenda kapige shule.. Umepta chuo kilichopo maeneo yasiyo na gharama za maisha, Kule ubwabwa ni shng Jero tu sahani tele..
Unaweza kuwekeza na kilimo kwenye mashamba ya mpunga kama uko na interest ya kufanya kilimo
 
Upande wa menyu utakula had uache

Mchele kilo Jero
Samaki wa buku unajaza besen zima

Kama mpenzi wa burudan Kuna vigodoro vya kuzid

Wahi mapema Kuna Hostel ya nyota moja imejengwa mwaka huu I think mtakuwa wa Kwanza kuingia

Upande wa Hospital zipo Tena za hadhi ya juu
Chuo kina hospital mbili

Samaritan Cancer hospital na St Francis Hospital

Mandhari ya chuo cyo mazuri kiviiiiile
Ila utaenjoy
Mengine sawa ila kwa mchele kilo 1200 kwenda juu
 
Upande wa menyu utakula had uache

Mchele kilo Jero
Samaki wa buku unajaza besen zima

Kama mpenzi wa burudan Kuna vigodoro vya kuzid

Wahi mapema Kuna Hostel ya nyota moja imejengwa mwaka huu I think mtakuwa wa Kwanza kuingia

Upande wa Hospital zipo Tena za hadhi ya juu
Chuo kina hospital mbili

Samaritan Cancer hospital na St Francis Hospital

Mandhari ya chuo cyo mazuri kiviiiiile
Ila utaenjoy
Asante sana😊
 
Hongera sana ni chuo kizuri sana na Wana hospital nzuri sana piaa kwa sasa wameongeza (GOOD SAMALITAN CANCER HOSPITAL) Kama eneo la practical.

Japo walifungia kipindi flan hiv but now wameruhusu.

Kuhusu menyu wory out, jipange kula wali kwa bei nafuu
HONGERA SANA.
Ohhh asante sana sana sana
 
Upande wa menyu utakula had uache

Mchele kilo Jero
Samaki wa buku unajaza besen zima

Kama mpenzi wa burudan Kuna vigodoro vya kuzid

Wahi mapema Kuna Hostel ya nyota moja imejengwa mwaka huu I think mtakuwa wa Kwanza kuingia

Upande wa Hospital zipo Tena za hadhi ya juu
Chuo kina hospital mbili

Samaritan Cancer hospital na St Francis Hospital

Mandhari ya chuo cyo mazuri kiviiiiile
Ila utaenjoy
Thaaank yoou
 
Back
Top Bottom