Tulia kuwa mpole hhahahahhaAcha wizi
hivyo vitisho haujaogopa tuHabari....kama kichwa cha habari kinavyo jieleza nimekuwa nikisikia kama upo uwezekano wa kupata channel bila ya kulipia kupitia Cable TV na ninatumia king'amuzi cha AZAM ila na wao hawakusita kutolea taarifa ya vitisho kwa wale ambao watabainika kutoa huduma ya cable TV SO kwa anayefahamu huu mfumoulivyo na unafanyaje kazi funguka tu............[m
Habari....kama kichwa cha habari kinavyo jieleza nimekuwa nikisikia kama upo uwezekano wa kupata channel bila ya kulipia kupitia Cable TV na ninatumia king'amuzi cha AZAM ila na wao hawakusita kutolea taarifa ya vitisho kwa wale ambao watabainika kutoa huduma ya cable TV SO kwa anayefahamu huu mfumoulivyo na unafanyaje kazi funguka tu............
Hii biashara haiitaji mbwembwe kwenye kumuajiri mtoa huduma kwa wateja wako ni Houseboy mdogo mdogo anayebalehe asiwe mzurururaji, betri za remote na simu ya kuwajulia hali wateja.wewe unaetoa cable tv unalipia kama kawaida, yule anaepokea anaweza asilipie au akatoa gharama nafuu.
kinachofanyika ni wewe unalipia azam, kisha ile cable inayotoka kwenye King'amuzi unaisambaza kwa watu mbali mbali ili na wao waone unacholipia wewe bila wao kulipia azam.
sema hizi cable ukibadilisha chanell na unayemuungia chanell kwake inabadilika pia,
ili kuwa na chanell nyingi watu wa cable wanakuwa na decoder nyingi, utakuta ana azam mbili, dstv, FTA receiver, startimes etc
ukipita nyumba ukiona kuna madishi mengi juu na kila dish lina LNB nyingi nyingi jua ndo hapo hapo kiwanda cha cable TV kilipo.
Mbona huwa inawezekana kubadilisha chanel hata kwa wateja wa cable tv?hii huwa wanafanyaje mkuu.wewe unaetoa cable tv unalipia kama kawaida, yule anaepokea anaweza asilipie au akatoa gharama nafuu.
kinachofanyika ni wewe unalipia azam, kisha ile cable inayotoka kwenye King'amuzi unaisambaza kwa watu mbali mbali ili na wao waone unacholipia wewe bila wao kulipia azam.
sema hizi cable ukibadilisha chanell na unayemuungia chanell kwake inabadilika pia,
ili kuwa na chanell nyingi watu wa cable wanakuwa na decoder nyingi, utakuta ana azam mbili, dstv, FTA receiver, startimes etc
ukipita nyumba ukiona kuna madishi mengi juu na kila dish lina LNB nyingi nyingi jua ndo hapo hapo kiwanda cha cable TV kilipo.
sababu wana decoder/receiver nyingi, na baadhi ya hizo decoder zinatoa chanell zaidi ya moja, mfano ipo dstv inayoonyesha chanell 2 kwa mpigo wanatumia kwenye mabanda ya mpira.Mbona huwa inawezekana kubadilisha chanel hata kwa wateja wa cable tv?hii huwa wanafanyaje mkuu.