Mtalebani Mweupe
JF-Expert Member
- Mar 12, 2020
- 566
- 655
Nishajiandaa kisaikolojia na hawa TRAKwenye Kibali na TRA hapo ndo uandae nguvu yani...!! Utajua why watu hawajiajiri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Kibali anatumia cha mwenye gari...tra bure.Kwenye Kibali na TRA hapo ndo uandae nguvu yani...!! Utajua why watu hawajiajiri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Dah aisee .yaan bei ya jumla 8500! Na huku reja reja ndo bei hiyokwa anaehitaji samaki jumla anicheki inbox .bei nafuuu kabisa.kwa sato na sangara
sato nauza 8500 kwa kig moja bei ya jumla
bei ya sato kwa sasa mjini dsm ni 10000Dah aisee .yaan bei ya jumla 8500! Na huku reja reja ndo bei hiyo
Moro 8500bei ya sato kwa sasa mjini dsm ni 10000
7500 mkuu...mie nauza 8500 sato ...sijui ww unachukulia wap...too high .anywyskama wewe mfanya biashara utakuwa umeelewa kwann bei ya huku ipo juu. sangara wanauzaje uko?
bei ya jumla unachukuwaje sato7500 mkuu...mie nauza 8500 sato ...sijui ww unachukulia wap...too high .anywys
Ni siri yangu mkuu..kama kwel unafanya biashara hii ntakuja pm ..bei ya jumla unachukuwaje sato
nicheki WhatsApp 0653 562165Ni siri yangu mkuu..kama kwel unafanya biashara hii ntakuja pm ..
Sangara je unauzajekwa anaehitaji samaki jumla anicheki inbox .bei nafuuu kabisa.kwa sato na sangara.
Sato nauza 8500 kwa kig moja bei ya jumla.
Soonnicheki WhatsApp 0653 562165
sangara kwa sasa nmesimama kidogo.ila sato mzigo upo wa kutoshaSangara je unauzaje
Mimi situmii sato. Na sangara nnaponunua ndio wana hiyo bei ya satosangara kwa sasa nmesimama kidogo.ila sato mzigo upo wa kutosha