heshma yenu wakuu,naombeni kujuzwa kuhusu blogs,jinsi ya kumiliki nakuoparete na malipo yake unapataje na kwamda gan maana napenda sana kumliki blog ya kunipatia chotote coz naiman ntaweza kuvuta watu mana najiona mi ni creative kdogo,asanten wakuu
aina gan ya blog unayotaka kuwa nayo,as an informer,as receiver of information,as receiver and informer,as discussion forum kama JF,fikiria kwanza kwa hilo kwanza halafu uje utueleze unataka kuwa katika category gan na tukupe advantage zake
ukifanya hivyo utafanya lolote ilimradi upate hela mwisho wa siku utaishia copy and paste na kusingizia watu tu na mambo yasiyofaa katika jamii.
fungua blog ya kitu unachokipenda ipe muda mezi 6 hadi miaka 2 watu wanaopenda kitu kama chako watakua wanatembelea hio blog then pesa zitakuja zenyewe automatic
Ndoo mana Tz hatuendelei kabisa shauri ya kuiga fanya kitu unapenda pesa zinakuja tu mzee alafu ukumbuke hakuna kitu unachokifanya hakina changomoto ilo ujue kabisaa na mapema sikutishi ila nakuambia tu

mkuu risk inachululiwa kwa vitu unavyopenda lakin sio kufanya kwa kuona fulana aliwekeza huo ni ulimbukeni fanya unachopenda wekeza utafanikiwa lakin kuna principle pia iko hivi
There are two kind of people in the world; one who just do hard work, and the other who do Hard work + smart work. Success comes to the people who finds a balance between hard work and smart work.