Link mbona ipo sawa kaka tafadhar naomba kama haifunguki basi i googlemkuu we tafuta theme kwanza kila kitu unachosema kipo kwenye theme yenyewe unayo tafuta na isitoshe weka link ya blog yako vizuri ili tujue imekaaje maana mi nikibonyeza sioni kitu
Una huakika na unachoongea au unasema link ipo sawa tu, maswali yako hewezi pata free ndugu lazima pesa ikutoshe, njoo PM nikurekebishie blog yako kwa 30,000 mbali na hapo huwezi pata soluitionLink mbona ipo sawa kaka tafadhar naomba kama haifunguki basi i google
lete 20 nikuweke blog yako fresh kama yangu. inboxPoleni na majukumu ya kila siku ndugu zangu. Nahitaji kuboresha blog yangu, naomba mnisaidie kujua mambo yafatayo:
1.kubadili background nitumie nayoitaka mimi
2. Kuweka mda rasmi mtumiaji anapokuwa ameingia ioneshe mda rasmi
3. Kuweka Kipengele cha Latest news na habari zake ambazo ni latest ziwe zinapita zenyewe moja baada ya ingine.
4. Nikipost kitu kwenye blog basi kijipost na kwenye facebook ili kuongeza viewers
5. Mwisho nimefungua account ya adsense ili kupata malipo lakin kuna sehem moja wananiomba url nimeweka ile ya kwenye blog system inagoma tafadhar wakuu naweka picha mnisaiide kwamba url inayohitajika ni ipi?
Naomba pitieni blog yangu mtabaini mapungufu iliyonayo ili mnisaidie ya kuiboresha iweze kuwa na watumiaji wengi http://minda-mambo@blogspot.com
Picha ya adsense url inayogoma ni hii kwenye picha View attachment 716416
Niunge basi dadaJiunge na group la Whatsapp ukutane na bloggers ,,,upate elimu zaid ya blog Bloggers Online
mimi niko machimbo ya kitunda kijana wanguPesa siyo shida sana kaka nambie uko wapi na pia siyo tabu mana nahitaji kuongeza baadhi ya vitu ili ijitoshereze mana ni kweli ina mapungufu mengi sana
0765558092Jiunge na group la Whatsapp ukutane na bloggers ,,,upate elimu zaid ya blog Bloggers Online
kama unataka uonane uso kwa uso niko machimbo ya kitundauko wapi
niunganishe kwa 0653737353Jiunge na group la Whatsapp ukutane na bloggers ,,,upate elimu zaid ya blog Bloggers Online
nimeiona...nilichokigundua ni kwamba unapata matatizo hayo kwa sababu umeweka matangazo mengi sana kwenye page ...yaani yale ya size ya 600*300 yako 3 na yale mengine pia matatu...ningekushauri uyapunguze..Pili nomba kujua kama matangazo yako haya yanaonekana kwenye simu kila ukifungua habari kwenye blog yako...na je unapata pageviews ngapi kwa kila habari at a minimum numberMimi nanishida na page level ads (auto ads) kwenye blog yangu,,,kila nikiweka inasema
adsense page level ads disabled in adsesnse font end,,,
nilijaribu templates nyingi ila nimeshindwa nikaamua kuweka default tu,,,msaada pleaase my nlog is
>>> www.ciluashaz.blogspot.com
MI NIKO BONYEZA LINK yako naona hivinimeiona...nilichokigundua ni kwamba unapata matatizo hayo kwa sababu umeweka matangazo mengi sana kwenye page ...yaani yale ya size ya 600*300 yako 3 na yale mengine pia matatu...ningekushauri uyapunguze..Pili nomba kujua kama matangazo yako haya yanaonekana kwenye simu kila ukifungua habari kwenye blog yako...na je unapata pageviews ngapi kwa kila habari at a minimum number
Kampuni ipi ya matangazo inayotoa hela nzuri bila ubabaishaji kwa blog yenye content za kiswahili? Sihitaji propeller.MI NIKO BONYEZA LINK yako naona hivi View attachment 721115
Duuu,,hatariMI NIKO BONYEZA LINK yako naona hivi View attachment 721115
nimeiona...nilichokigundua ni kwamba unapata matatizo hayo kwa sababu umeweka matangazo mengi sana kwenye page ...yaani yale ya size ya 600*300 yako 3 na yale mengine pia matatu...ningekushauri uyapunguze..Pili nomba kujua kama matangazo yako haya yanaonekana kwenye simu kila ukifungua habari kwenye blog yako...na je unapata pageviews ngapi kwa kila habari at a minimum number