Wadau kwa anayefahamu kuhusu B.Sc.in Bioprocessing and Postharvest Engineering ya pale SUA maana kuna ndugu yangu anataka kuapply lakini nikimuuliza kuhusiana na hiyo kozi maelezo yake anaonyesha anafuata mkumbo tu ,na nilicho kisoma kwake ni kwamba ndoto yake ni kusoma SUA 2 ,kwahiyo ebu nifungueni macho ni mshauri vizuri.