Msaada kuhusu biomedical engineering

Msaada kuhusu biomedical engineering

Mussa Ubapa

Member
Joined
Sep 18, 2017
Posts
49
Reaction score
19
Tafadhali mwenye uelewa mpana kuhusiana na Hii health care field... ..katika upande wa fursa zake,sponsorship zake,Uhitaji wa ufaulu ili kuchukua degree take,nnchi za wenzetu zinazofundisha kwa ufanisi mkubwa na mwisho future prosperity yake katika nnchi yetu.....Pia mwenye mchango wowote wa kimawazo tafadhali acha comments zako hapa
 
Nadhani inatolewa DIT upande wa diploma pekee nchi nzima....

Ni nzuri sana
 
Back
Top Bottom