platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,548
- 11,517
Si sahihi sana.Makampuni ya bima huwa hayataki kudeal na wateja moja kwa moja. Kwa hiyo ukienda kwenye kampuni moja kwa moja utapigwa rate kubwa kuliko ukienda kwa dalali (broker) au wakala (agent).
Makampuni ya Bima yanapenda pia Wateja directly kwa sababu wanapata 100% profit tofauti na kupitia kwa broker au agent inabidi watoe 10%- 20% commission