Msaada kuhusu bikra ya msichana!

kagarara

Senior Member
Nov 23, 2010
118
9
Mm tangu naanza kuwa na mahusiano sijawahi kukutana na binti bikra. Lakini sasa wakuu naomba kuuliza, imagine unakutana na binti bikra na hamjapanga kupata mtoto, je kuna uwezekano wa kutumia kondomu ili kuzuia mimba? Nauliza hvyo kwa maana kuna mtu aliniambia kuwa bikra ni ngumu sana kuitoa na sasa najiuliza, je ukivaa kondomu si inaweza kupasuka kwa sababu ya ugumu wa bikra? Nisaidieni ndugu zangu.
 
dah!thread za bikra zimezidi mno wajameni!sasa sijui lifunguliwe jukwaa la bikra au sticky thread ya bikra!hebu mods na wadau wengine tufikirie nini kifanyike!
 
Bora mico umeuliza umeniwahi kidogo tuu ilikuwa niulize mimi.
We dogo msichana kuwa na bikra hakumanishi kila siku mayai yanashuka hilo swali lako lipo kama kachumbari kwa kuwa umemix mambo kibao.

Mliouliza umri mmepevuka kimaadili na kisaikolojia pia

dah!thread za bikra zimezidi mno wajameni!sasa sijui lifunguliwe jukwaa la bikra au sticky thread ya bikra!hebu mods na wadau wengine tufikirie nini kifanyike!

Wakuu huku sasa hivi watoto wamevamia sana,
Kuna kauncle kangu kana miaka 17 tu, kana mchina ana Internet basi kushinda kwake ni huku JF-MMU,Chitchat,Jukwaa la kikubwa.........! Hapo unategemea nini?
Nakahifadhi kwa jina nilifuma cm iko online nikaona naID yake anayoitumia.

ok mkuu!sasa naanza kuelewa!kama mods wakifungua jukwaa linaitwa YOUTH CORNER inaweza ikasaidia kuwafanya wakutane huko?lets think
 
Acheni hizo wana jf, mtu akiuliza kitu jibu kwanza kisha anza kumkosoa, ukiangalia kwenye post yake amebainisha kabisa kwamba hajawahi kukutana na msichana mwenye bikira hivyo anahitaji kujua kama kondomu inaweza kutumika endapo msichana ana bikira tene original ya kuzaliwa nayo. Mpatie majibu kwa wanaojua na si kumponda. Lakini inavyoonyesha wengi wenu mnaotukana mna hasira ya kutokubahatika kupata binti yeyote mwenye bikira tangu kukua kwenu.
 
Acheni hizo wana jf, mtu akiuliza kitu mjibu kwanza kisha anza kumkosoa, ukiangalia kwenye post yangu nimebainisha kabisa kwamba sijawahi kukutana na msichana mwenye bikira hivyo nahitaji kujua kama kondomu inaweza kutumika endapo msichana ana bikira tene original ya kuzaliwa nayo.

taratibu kaka,swali lako linahusu mapenzi,kimaadili mapenzi inatakiwa 18yrs and over!je una miaka 18 mkuu?sisi ni watu wazima,japo hatuonani lakini tunaweza hisi watoto wanapoingia hapa,kifupi umetupa hisia uko chini ya 18
 
Acheni hizo wana jf, mtu akiuliza kitu jibu kwanza kisha anza kumkosoa, ukiangalia kwenye post yake amebainisha kabisa kwamba hajawahi kukutana na msichana mwenye bikira hivyo anahitaji kujua kama kondomu inaweza kutumika endapo msichana ana bikira tene original ya kuzaliwa nayo. Mpatie majibu kwa wanaojua na si kumponda. Lakini inavyoonyesha wengi wenu mnaotukana mna hasira ya kutokubahatika kupata binti yeyote mwenye bikira tangu kukua kwenu.
Id za kutosha..
 
Pole kwa kukosa msaada wa swali lako, mie sio mjuvi wa hiyo makitu ningekusaidia swahiba,
 
Pole kwa kukosa msaada wa swali lako, mie sio mjuvi wa hiyo makitu ningekusaidia swahiba,

mkuu swali lake jibu lake ni rahisi sana,tatizo kijana tunajaribu kumuweka sawa ki-jf aachane na u-fb hapa jf lakini anazidi kutukana watu!lazima kuwe na utofauti na pengine!here is home of great thinkers hata tukizungumzia mapenzi ubongo unachukua nafasi yake hapa!
 
Back
Top Bottom