Msaada kuhusu biashara ya samaki wa mapambo

Encysis Inc

Member
Jul 31, 2019
87
117
Niko Mkoa Wa Kagera. Nahitaji Kuanzisha Biashara Ya Samaki wa Mapambo, Pia Utengenezaji wa Aquascape, Water Falls Pamoja Na Forest Ndani Ya Nyumba. Mwenye Ako Na Knowledge Anakaribishwa
 
Kuna profession huwa naona akipost fb mambo ya aquarium atakua kasoma aquaculture SUA nikimpata nitakonekiti
Wajuzi karbuni
Ukienda ofisi za uvuvi eneo ulipo hasa ofisi ya mkoa kutana na afisa samaki atakupa taarifa nyingi sahihi
 
Graduate wa SUA fursa hii kwenu
Utoton nlikuwa mwiz wa samaki hawa
Nakumbuka tukienda sehemu ambaz watu wanawafuga tukiwaiba tulikuwa tunawaweka mdomoni badaye kwenye kopo
Mambo ya gold fish, zebra, blackmore etc tumewakwalaa sana kwa mashuwaa

Ova
 
Kuna profession huwa naona akipost fb mambo ya aquarium atakua kasoma aquaculture SUA nikimpata nitakonekiti
Wajuzi karbuni
Ukienda ofisi za uvuvi eneo ulipo hasa ofisi ya mkoa kutana na afisa samaki atakupa taarifa nyingi sahihi
Shukrani
 
Utoton nlikuwa mwiz wa samaki hawa
Nakumbuka tukienda sehemu ambaz watu wanawafuga tukiwaiba tulikuwa tunawaweka mdomoni badaye kwenye kopo
Mambo ya gold fish, zebra, blackmore etc tumewakwalaa sana kwa mashuwaa

Ova
Noma Sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom