cpb
Senior Member
- Nov 1, 2014
- 156
- 88
Naomba msaada kwa waliosoma bachelor of science nursing ajira zake zikoje kwa mtu aliemaliza degree maana sjawahi kuona tangazo la kazi zikiwahitaji hawa watalaam na inachukua mda gani kusoma hii kozi nahitaji ushauri wenu ili nijue kama naweza kuisoma nmefanya nimepata phy E, Chem C, Bios C.
Naomba mnisaidie kama hii kozi ina soko na uhitaji mkubwa na ukimaliza duties zake zinakuwa kama zile za wauguzi walio na certificate
Naomba mnisaidie kama hii kozi ina soko na uhitaji mkubwa na ukimaliza duties zake zinakuwa kama zile za wauguzi walio na certificate