Msaada kuhusu application TCU with CAS

Msaada kuhusu application TCU with CAS

Borro

Member
Joined
Nov 29, 2011
Posts
98
Reaction score
40
Jamii Forums naomba msaada kujulishwa tatizo lipo wapi katika kutuma maombi na CAS kila nikijaza voucher namba kutoka TCU inaniletea meseji kwamba the namba inserted ipo invalid. Nimejitahidi sana kurudia kwa umakini zaidi lakini bado haikubali na inaleta the same meseji.
Please guys, tatizo laweza kuwa nini?, naomba help maana karibia nachizika na ukizingatia deadline ni hivi karibuni "30 July".
 
angalia kwa makini hyo vocha namba kama ni zero au herufi o pia tofautisha herufi l na namb moja...kuna mwenzako na yy alikosea kusoma hvo vitu...
 
Thanks mkubwa but nadhani sijamix kati ya zero na o, pia kati ya L na 1, nipo makini kwa hilo. So far bado hakijaeleweka kabisa yaani.
 
Jamani mtandao wa CAS-TCU umekubali? Kwani nikifikia sehemu ya Ku Confirm jina la Mwanafunzi inaniandikia Problem on loading please Try Again later
 
Jamani mtandao wa CAS-TCU umekubali? Kwani nikifikia sehemu ya Ku Confirm jina la Mwanafunzi inaniandikia Problem on loading please Try Again later
Mtandao upo slow sana
 
Nadhani kuna haja ya TCU kuwashirikisha internet service providers katika kusaidia mchakato huu wa application thru CAS
 
Hivi hawajui si wote wenye access ya Internet, wengine mpaka waende mjini kupata huduma hiyo kwa gharama halafu wanarudi bila mafanikio,
 
Hadi sasa Hivi mm unanigomea...... Warekebishe Huduma zao
 
Nimefanikiwa kumjazia kijana maombi yake saa 5 usiku, yaani mtandao uko vizuri.Naona mchana sever ya TCU inazidiwa, kama una simu janja(smart phone) unaweza kutumia muda wa usiku kutuma maombi yako.
 
The problem is when am updating '' additional details'' haikubali inarudi nyumaa na kuniambia ni log in tenaaa ila nafikiri waifanyia kazi... labda kesho 28 au 29 itakuwa pouwa
 
mmmmh kuwa mmakn 2 maana kuna namba kama heruf nyngne azielewek ikikata pay 4 another round
 
Hizi code za malipo tcu wanasumbua unaweka inagoma!!!
 
Mm hata sielewi yaani baada ya mbwembwe zoote wamekutumia user name na namba ya siri umelog in nn kinafuata baada ya hapo?
 
Back
Top Bottom