next time kama unanunua toka amazon, fungua account ipsparcel.com watakupa address ya marekani, mzigo wako utaenda kwa ipsparcel halafu wao watakutumia kwa either dhl au fedex chaguo lako. Ina uhakika zaidi kuliko posta, within one week unapata mzigo wako. Natumia njia hii