Wadau naombeni msaada nilifanya transaction ya kununua simu katika aliexpress sasa kwenye shiping nikachagua DHL mana wao mzigo unafika kuanzia 4-8 days sasa cha ajabu yule seller ametuma mzigo kupitia Netherland post air mail je kwa wanayo fahamu hii mzigo unaweza fika kuanzia siku ngapi?