Kama kichwa kinavyojielezea hapo juu nilikuwa naomba msaada kuhusu kuset pluggin ya kuprotect invalid click kwa sababu hapo majuzi nimepata majanga ya kupigwa invalid kibao japo adsense bado inaishi je invalid protector pluggin ni safe kuitumia kwenye adsense ? na je kuna yoyote ambae ameset kwenye site yake? naombeni majibu wakuu tusaidiane kwenye hili janga
kama unakatwa dollar ni invalid traffic ambayo ina mambo zaidi ya kumi,,,, cha msingi set matangano yako vizuri hizo plugin si lolote mseee.. upangaji wa matangazo na fake links ni results ya invalid clicks,,