Msaada kuhusu Accounting ama sales and marketing

mkima_tz

New Member
Joined
Sep 21, 2020
Posts
1
Reaction score
1
Habari ndugu zangu, ni matumaini yangu sote tu wazima na poleni kwa wachache baadhi yetu ambao hatuko sawa ama kiafya ama kifikra hakika yupo mungu anaetupenda na kutuwazia mema kwenye maisha yetu.

Baada ya salam ndugu zangu nimekuja kwenu kutaka ushauri mimi ni muhitimu wa kidato cha nne almost six years back, nimekuwa kitaani kwa muda wote huo toka nilipohitimu o' level nimekuwa nikijishughulisha na kazi za viwandani kwa muda na hata kufanya biashara ndogo ndogo ili maisha yaende but kadri siku zinavyokwenda ndipo age nayo inasonga nikiangalia maisha niliyonayo naona kabisa kuna kitu pengine hakiko sawa, nasema hakiko sawa kwa maana age inaenda and siko na professional yeyte so nafikiria kujiendeleza walau niwe na professional though issue ya ajira nowdays ni changamoto kidgo..

Nmejieleza sana ndugu zangu but point ni kuwataka ushauri wenu kama kijana mwenzetu natamani kusoma sana mambo mawili ningependa munisaidie niende wapi pia upatikanaji wa ajira kulingana na masomo husika na ada za vyuo husika vinavyo offer hizo kozi,, Accounting ama issue za sales.

Natanguliza shukrani zangu.
 
pole Bro!! Tafuta connection kwanza!!
 
Soma accountancy CBE nipigie kwa 0756936931 nikupatie ushauri vizuri
 
Soma Accountancy,maana unaweza fanya hata kazi za Sales,Lakini Sales huwezi fanya kazi za Accountant
 
Back
Top Bottom