Msaada kuhusiana na hii nyota

Msaada kuhusiana na hii nyota

pamoja Santa

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2019
Posts
1,303
Reaction score
1,761
Wasaalam Wakuu,

kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuna jamaa yangu nimempatia simu yangu abeti lakini baada ya kunirudishia nakuta nyota kama inavyoonekana kwa chini hapa.

Hii nyota ina maanisha nini na ina madhara au?

Nime-screenshot hapa chini na nyota Ipo kwa juu pembeni ya bars za mitandao[emoji116][emoji116][emoji116]
Screenshot_2021-02-09-16-21-06.jpeg
Screenshot_2021-02-09-16-21-06.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom