thx King'asti
Chukua "bisibisi" ingiza juu kwenye mlango alafu tanua nafasi(autachuna kitu chochote kwani kuna mpira ule uliozunguka kwenye mlango). ukipata mafasi iliowazi weka kibao hili ukitoa "bisibisi" uwazi ubaki. Baada hapo chukua waya kama wa hanger ya nguo; unyooshe na mbele kunja kama ndoano. Huo waya sasa utaingiza kwenye nafasi ilio wazi na unaweza kutumia kuvuta ufunguo nje au kutoa lock ya mlango. Kumbuka utakua unakunja wire kutokana na angle itayakupa urahisi wa kufikia lock au ufunguo.
Hio njia ni safe kabisa na hakuna uaribifu wowote. Nimeitumia mara nyingi sana kusaidia watu na mie mwenyewe.
Yalaaah Mkuu O-Chamberlain unauhakika wezi wa magari hawajakusoma, maana gari yangu pia ni Toyota!Chukua "bisibisi" ingiza juu kwenye mlango alafu tanua nafasi(autachuna kitu chochote kwani kuna mpira ule uliozunguka kwenye mlango). ukipata mafasi iliowazi weka kibao hili ukitoa "bisibisi" uwazi ubaki. Baada hapo chukua waya kama wa hanger ya nguo; unyooshe na mbele kunja kama ndoano. Huo waya sasa utaingiza kwenye nafasi ilio wazi na unaweza kutumia kuvuta ufunguo nje au kutoa lock ya mlango. Kumbuka utakua unakunja wire kutokana na angle itayakupa urahisi wa kufikia lock au ufunguo.
Hio njia ni safe kabisa na hakuna uaribifu wowote. Nimeitumia mara nyingi sana kusaidia watu na mie mwenyewe.
Yalaaah Mkuu O-Chamberlain unauhakika wezi wa magari hawajakusoma, maana gari yangu pia ni Toyota!
mkuu hii mbinu yako nimeitumia leo imefanya kazi asilimia 1oo asante sanaChukua "bisibisi" ingiza juu kwenye mlango alafu tanua nafasi(autachuna kitu chochote kwani kuna mpira ule uliozunguka kwenye mlango). ukipata mafasi iliowazi weka kibao hili ukitoa "bisibisi" uwazi ubaki. Baada hapo chukua waya kama wa hanger ya nguo; unyooshe na mbele kunja kama ndoano. Huo waya sasa utaingiza kwenye nafasi ilio wazi na unaweza kutumia kuvuta ufunguo nje au kutoa lock ya mlango. Kumbuka utakua unakunja wire kutokana na angle itayakupa urahisi wa kufikia lock au ufunguo.
Hio njia ni safe kabisa na hakuna uaribifu wowote. Nimeitumia mara nyingi sana kusaidia watu na mie mwenyewe.